top of page
HOME PAGE.png
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Tumblr Social Icon
  • Instagram

NDOA

Kutokana na hali ya uzinzi kuenea katika jamii katika nchi nyingi dunia bila kujalisha imani za dini zao, tumependelea kuanzisha juhudi za kuwanganisha wanandoa ili kupunguza wimbi la uzinzi tulilo liashiria hapo juu. Hivyo katika kulielekea lengu tajwa kupo tayari kuwaunganisha watu kwa mujibu wa imani za dini zao, yaani kumuinganisha muislamu na muislamu mwenziwe kadhalika mkristo na mkristo mwenziwe hata wasio kuwa na dini pia almuradi watu waishi katika mahusiano halali. Uislam wakiri uhalali wa ndoa silizo kuwa hazikufungwa  kwa misingi ya uislam madamu ndoa hizo zimekubalika katika jamii. Hata hivyo uislam upo mbali na muislam yeyote atakaye jiamulia kufunga ndoa kinyume na misingi ya uislam. Tuwebayana kwamba tunamaanisha kuwa hakuna ndoa baina ya muislamu na aliye kuwa sio muislamu, kwa wakati huo huo uislamu unahimiza watu wote kuwa katika mahusiono yanayo kubalika kijamii yaani yanayo waweka watu nje ya uzingi na husherati.

​

NDOA BATILI

NDOA BATILI

Fuata maelekezo hapo chini na ufanye kama walivyo fanye wengine ili uwe na sifa za kupata huduma kutupitia sisi. Pia usikose kupitia data (VIELELEZO) vya wengini chini ya ukurasa huu.

1. Tutumie vielelezo vyako tutakavyo mpatiya yeyote atakaye jitokeza ( wasifu wako CV elezea elimu na umri na kauli mbiu ya maisha yako usisahau kuelezea sifa za mwanandoa unaye pendezwa naye + picha 3,  1 nzima piga mbele, nyengine 1 nzima piga ubavu halafu moja piga kipande kuanzia kichwani na kitovuni ).

​

2. Kuwa mkweli katika unacho tutumia pia utapo anza mahusiano na mtarajiwa wako muambie kabisa ikiwa umewahi shiriki ngono hapo awali, kufanya hivyo ni ngao na tiba ya kudumisha mahusiano ya ndoa baina ya wanandoa.

​

3. Kuwa tayari kwa ushirikiano itapo tulazimu kufuatilia taarifa zako... tutazishirikisha serikani za mtaa wanakoishi wazazi au walezi wako/mwenzako, ni muhimu sana ili kuuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza kwa baadaye.

​

4. Ukibahatika kumpata mchumba ni lazima sisi kukutana na wazazi wako kwanza kabla ya kukuunganisha, pia ni lazima usome ndoa kitaaluma wala sio kimazoea kwa kupitia mangariba au wakufunzi wa kimila. Kozi hiyo tutakupatieni wewe na mwenzi wako kupitia moja ya njia mbili:

  • online course

  • class seminar courses 12 hours full package from fiancee & wedding stage to hereafter stage.

​

5. Huwa tunapendelea sana kuwahudumia walio kuwa hawajawahi kuwa na kesi ya jinai maishani kwako ... ikiwa umewahi kuwa na kesi ya jinai jitahidi kwanza umalizane na mahakama husika maana hatuunganishi wahalifu.

HAPO CHINI WACHUMBA WAPO

​

sasa mchague mchumba au tima vielelezo vyako uunganishwe na wachumba duniani

Ndoa targets N: 170/02

umri: 21

Rangi: maji ya kunde

 Urefu: 180cm

Elimu: diploma IT

Kauli

ndoa sio kama grp ya whatsap ... kuwa na malengo ya maisha. Maisha ndio maamuzi.

web single g ndoa.png

Ndoa targets N: 170/02

umri: 21

Rangi: maji ya kunde

 Urefu: 180cm

Elimu: diploma IT

Kauli

ndoa sio kama grp ya whatsap ... kuwa na malengo ya maisha. Maisha ndio maamuzi.

web single g ndoa.png

Ndoa targets N: 175/02

umri: 24

Rangi: maji ya kunde

 Urefu: 130cm

Elimu: ujasiriaamali

Kauli

ndoa yangu ya kwanza niliyumbishwa, mara hii lazima niwe makini nikizingatia kuwa nawana 2 .

web single g ndoa.png

Ndoa targets N: 177/02

umri: 25

Rangi: maji ya kunde

 Urefu: 200cm

Elimu: Masters

Kauli

Pamoja na kuitaka ndoa, sipo tayari kuolewa na mtu asiye kuwa na vision maishani mwake.

web single g ndoa.png

 Ndoa targets N: 171/02

umri: 31

Rangi: mweusi

 Urefu: 160cm

Elimu: degree

Kauli

Namtaka mwenye elimu kwa uchache F4, kabila na rangi yoyote, awe muelewa awe tayari kuishi popote

web single b ndoa.png

 Ndoa targets N: 171/02

umri: 31

Rangi: mweusi

 Urefu: 160cm

Elimu: degree

Kauli

Namtaka mwenye elimu kwa uchache F4, kabila na rangi yoyote, awe muelewa awe tayari kuishi popote

web single b ndoa.png

 Ndoa targets N: 176/02

umri: 31

Rangi: mweupe

 Urefu: 150cm

Elimu: form 6

Kauli

bado namsubiria yule niliye andikiwa na mungu maana ndoa huandikwa mbinguni 

web single b ndoa.png

 Ndoa targets N: 178/02

umri: 45

Rangi: mweusi

 Urefu: 160cm

Elimu: form 2

Kauli

Namtaka mke wa nne awe na dini au awe tayari kuwa muislam. shughuli zangu ni za usafiri wa bodaboda tokea mwaka 2013

web single b ndoa.png
HUDUMA HIZI NI BILA MALIPO JAZA TAARIFA ZAKO HAPA
JEE, UNAWEZA KUWA TAYARI KWA MWENGINEO ASIYE TIMIZA SIFA UZITAKAZO ?

Thanks for submitting!

Tafadhali tunaomba maoni yako kuhusu makala hii

bottom of page