top of page
Halal Tainings & Conferences Centre
LEADERSHIP – ENTREPRENEURSHIP – HALAL FINANCE - ACCOUNTING & AUDIT
BRELA ID No:582932 , TIN: 151 - 765 - 065
+255755378975 / +255617604851
Email: gshcourt@gmail.com, waliosahaulika@gmail.com
TANZANIA DAR es SALAAM, UBUNGO KWEMBE, MLOGANZILA
Uhalisia wa hali za masheikh na maustadh ni mbaya sana kiuchumi kwa walio wengi. Video hiyo hapo juu inatoa taswira yao halisi ya kiuchumi. Huyo ni kijana mganda aliye hifadhi quraani, lakin kazi anayo ifanya kwa ajili ya kujikimu ndio munaiona hapo.
Tunakuombeni mfuatilie makata hii kwa kina tutajadili suala husika kwa ubainifu katika makala hii. .
Tafadhali tunaomba maoni yako kuhusu makala hii
bottom of page
