top of page
HOME PAGE.png

MASJIDUL MADINATUL MUNAWARAH NA CHANGAMOTO ZAKE

2018 - 2021

KICHAKA MSIKITINI

BAADA YA MSIKITI KUKOSA USIMAMIZI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU, ENEO LOTE LA MSIKITINI LILIOTA KICHAKA KIKUBWA SANA KILICHO GEUKA KUWA NI MAKAAZI YA NYOKA.

MAGONJWA KWA WANAFUNZI

MSIKITI KUVUJA
 

NI CHANGAMOTO KUBWA KWETU MAANA SHUGHULI ZETU ZOTE, KUSOMA KULALA NA MENGINEO YOTE HUWA TUNAYAFANYA MSIKITINI

KUJIKIMU KIMAISHA
 

IELEWEKE KUWA HAKUNA MWANADAMU ANAYE ISHI BILA KULA CHAKULA...SASA TULIPO AMUA KUFANYA KAMBI TULIJIKUTA NA CHANGAMOTO YA KIUCHUMI KUTOKANA NA UKOSEFU WA UFADHILI. NJIA YA KIPEKEE YA KUPUNGUZA UKALI WA UKOSEFU WA UFADHILI TULIAMUA KUGAWA MUDA KWA AJILI YA KUSOMA NA KULIMA NA KUFUGA NJIWA ILI TUPATE JAPO KULA YA SIKU MOJA TU KWA WIKI.

MAENDELEO 3.png

TAFADHALI UKIGUSWA NA SUALA LA JUHUDI ZETU, USISITE KUTOA MCHANGO WAKO WA MALI NA MAWAZO KWA AJILI YA MABORESHO ... WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ZILIZOPO  HAPO  MWANZONI JUU YA UKURASA

DARASANI KWETU

MUDA WETU MKUBWA WA KUSOMA HUWA NI USIKU MAANA MCHANA KUTWA TUNASHUGHULIKIA KILIMO NA MIFUGO.
SASA TUNA CHANGAMOTO KUBWA YA UMEME MAANA MARA KWA MARA HUWA UMEME UNATUISHIA JAMBO LINALO TUPELEKEA KUKOSA KUSOMA.

DSC00015.JPG
bottom of page