top of page
HOME PAGE.png

MASJIDUL MADINATUL MUNAWARAH NA MAENDELEO YAKE

UKARABATI WA MASJIDUL MADINATUL MUNAWARAH

Suala la maendeleo huchochewa na changamoto wanazo kabiliana nazo wahusika zinazo . Kiukweli ni kwamba wakaazi walio wengi katika eneo uliko jengwa msikiti ni watu walio jiweka mbali sana na mambo ya maendeleo ya dini kijijini hapo. Tunayo yaeleza hapa yana ushahidi:
          1. uhudhuriaji wa ibada,
          2. msikiti kufungwa kwa miaka mitatu bila imamu
          3. hata ukarabati wa msikiti, ushiriki wao ni mdogo sana kimawazo, sikuambii kipesa.
Tizama video ya pili kushotoni hapo nchini, utawaona watoto wadogo ndio wanao shiriki ujenzi pamoja na mafundi badala ya watu wazima.
Kati yetu nani anaye sahau kuwa wakati wa ukarabati lazima watahitajika watu kwa ajili ya kusimamia na kusafisha popote panapo husika na ukarabati !
Ukarabati wetu ni kubadili paa la msikiti, yaani mabati makongwe na bao zote titateremshwa jambo linalo lazimu watu kuwepo kushafisha na kuondoa mabati punde tu mafundi watapo hitaji huduma za kusafishiwa eneo husika.
Sasa kazi yote hiyo imefanywa na watoto wadogo wanao onekana katika video hiyo.
Hao ni watoto wa madrasa tuliwapanga kwa zamu ya nidhamu ya kufanya kazi kwa makundi mawili. Kundi moja lafanya asubuhi na kundi jengine lafanya jioni.
Hiyo ndio hali na kijijini hapa na huduma zao kwa ajili ya maendeleo ya dini. 

IJUMAA YA MUHANGA BAADA YA PAA KUNG'OLEWA IBADA IKAENDELEA

MAENDELEO 3.png

TAFADHALI UKIGUSWA NA SUALA LA JUHUDI ZETU, USISITE KUTOA MCHANGO WAKO WA MALI NA MAWAZO KWA AJILI YA MABORESHO ... WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA ZILIZOPO  HAPO  MWANZONI JUU YA UKURASA

DSC00015.JPG
bottom of page