
Global Services High Targets
LEADERSHIP – ENTREPRENEURSHIP – VOLUNTEERING
BRELA ID No: 465066, TIN:
BAKWATA ID: BKT /MDRS/O2O/O1O15
0768649111 – 0675103790 – 0777496444 – 0772496444
Email: gshcourt@gmail , uddgshcourt@gmail
TANZANIA DAR es SALAAM, UBUNGO KWEMBE, MLOGANZILA
UBUNGO, KWEMBE, MLOGANZILA

VIKOBA - Mafunzo ya uendeshaji wa miradi
Fri, 08 Oct
|www,youtube.com/gshtargets
ukosefu wa maarifa ni moja ya aina za jela maishani. uhalisisia wa utajiri na kujikumboa kiuchumi ni suala lisilo epukika na walimwengu khasa katika zama hizi zilizo athiriwa na ubepari. Mtu yeyote anaweza kuinuka kutoka hatuafulani ya kimapato hadi hatua ya pili zaidi ya mapato yake ya awali.


Time & Location
08 Oct 2021, 18:24
www,youtube.com/gshtargets, Dar es Salaam, Tanzania, Ubungo District, Kwembe, Mloganzila, masjid madina
About the event
Safari ya elimu kwa vijana wetu imekuwa kama safari ya jangwani. Hali ya jangwa hutawaliwa na joto kali mchana, baridi kali usiku. Iwe mchana au usiku jangwani hakuna kimbilio maana popote uelekezapo macho hupati ufumbuzi zaidi ya kuchanganyikiwa.
Vijana wetu wakabiliwa na changamoto nyingi sana katika safari yao ya kuitafuta elimu, baya zaidi changomoto hizo hazisiti kwa kuhitimu kwao. Bali changamoto hizo huendeleo kuwasakama vijana wetu mfano wa donda ndugu, ingwa baada ya kuhitimu changomoto hizo huchukua taswira mpya na kudhihiri suala la faida ya elimu. Mbuge wa kahama Mhe Khamis Kishimba amewahi kuliashiria suala hili bungeni tunaomba umsikilize kwa kubafya hapo www.youtube.com/watch?v=jsaEZrxrODo&t=11s
Hali tulio ielezea hapo juu inge tutosheleza wanajamii ili tubadilishane mawazo kwa lengo la utatuzi wa changamoto hizo japo kupunguza ukali wake ikiwa sio kuziondoa kabisa. Sasa sehemu ya kipekee ya makutano kwa ajili ya suala hilo ni sehemu za mahafali yanayo fanyika kila mwaka nchi zima. Hata…
Tickets
ALL LEVEL GRADUATES & PRIMARY
ANY GRADUATES WILL GET TREE SEATES (FOR HIMSELF & BOTH PARENTS INCLUDE DINNER FOR ALL) .
TSh 25,000.00
+TSh 625.00 ticket service fee
Sale ended