Global Services High Targets
LEADERSHIP – ENTREPRENEURSHIP – VOLUNTEERING
BRELA ID No: 465066, TIN:
BAKWATA ID: BKT /MDRS/O2O/O1O15
0768649111 – 0675103790 – 0777496444 – 0772496444
Email: gshcourt@gmail , uddgshcourt@gmail
TANZANIA DAR es SALAAM, UBUNGO KWEMBE, MLOGANZILA
UBUNGO, KWEMBE, MLOGANZILA

TAFADHALI BOFYA PICHA HIZO KWA AJILI YA TAARIFA ZAIDI
TUNA HUWISHA MISKITI NA MADRASA ZILIZO KOSA UHAI TAFADHALI WASILIANA NASI 0624960047, 0675103790, 0768649111
MOJA YA MADRASA TUNAZO ZIHUWISHWA
BAADA YA KUTETEREKA KIUFUNDISHAJI
akiifanya kwa lengo la kukimu maisha yao ya kila leo:
*Mtume Daudi alikuwa ni mhunzi anaye itegemea rizki yake kupitia kazi hiyo,
*Nabii Yahya alikuwa mchungaji wa kulisha mifugu kazi walio ipitia mitume na manabii wengi maana kazi hiyo ilikuwa ni moja ya vyanzo vya mapato na kitegauchumi kwa zama hizo,
*Mtume Muhammad pia alifanya kazi kadhaa kulisha wanyama ... ajira ya kusimamia biashara.
Habari na mifano tulio ielezea hapo juu ni vielelezo tosha vilivyo washawishi wasomi wa dini katika zama tofauti ya historia ya uislam kuzitumia fursa za zama
Ni vigumu mnoo walimwengu kuepuka suala la chanzo cha kuwepo kwao. Yaani nimeashiria ugumu wa mmoja wetu kuishi bila kuwa na dhamira ya mwisho wa uhai wake. Imani ya mwisho wa uhai wa mtu , ipo kwa kila mmoja wetu ingawa imani hiyo imetofautiana mtu na mtu, jamii na jamii. Hivyo sio ajabu kwa msomaji wa makala haya kusoma masuala ya dini ya uislamu maani mimi ni mmoja wawanaoamini uwepo wa muumba aliye waamuru wanadamu kujisalimisha kwake jambo linalo wafanya kuwa waislamu. Hata hivyo mimi sioni ajabu kuwa msomaji wamakala hii anaweza kuwa sio mmoja wa waislamu.
Uislam ni dini iliyo kuwa faikufahamika vilivyo na watu walio wengi maana wafuasi wake walio wengi wapo nje na uhalisia wa maamrika na mafundisho ya ALLAH na Mtume wake. Kiuhalisia ni kwamba Uislam mara zote hauku puuzilia mbali hali halisi ya jamii kwa zama husika, ndio sababu kuu ilio pelekea ALLAH kuwatuma mitume kwa zama tofauti na kila Mtume alipewa muujiza au miujiza kadha inayo endana na hali halisi ya jamii alikotumwa, kwa wakati huo huo miujiza hiyo ikiwa juu ya mambo makubwa yanayo fanywa katika jamii husika,
zao ili kuusimamisha uchumi binafsi na ustawi wajamii zao kwa jumla:
*Imaam na msomi mkubwa katika uislam Abdullah bin Masoud sahaba wa mtume alikuwa aisomesha dini na kuilingania kwa watu akiwa ana ajira yake ya kujikimu kimaisha, alikuwa ni bingwa mkulima zama zake,
*Abdurahmani bin aufi alikuwa mtangazaji wa dini ya kiislami na mfanya biashara wa zama zake,*Suhailu Arumiy alikuwa ni mlinganiaji wa uislamu akiwa ni bingwa fundi sonara mtengeneza pete,
Mmoja wa askari jeshi wa Uganda mpakani mwa Kenya na Uganda akitekeleza wajibu wake wa kidini ... na kulingania dini ya uislam kwa jeshi la Uganda na Kenya
kwa lengo la kuwazindua watu wa zama hizo ili wasije pumbazika na mambo ya maendeleo yanayo fanywa na watu wa zama zao. Jambo linalo weza kupelekea walio wengi kuusahau uwezo wa Muumba wao na kusahau kuwa Muumba wao ndiye anaye wawezesha wafanyaji wote.
Miujiza walio pewa mitume ni mingi mnoo ila hapa tutaashiria baadhi ya miujiza kwa baadhi ya mitume.
*Mtume Issa mwana wa mariam (Yesu) alitumwa katika zama za watu walio bobea katika mambo ya tiba za magonjwa mengi sana,
*Mtume Mussa, moja ya miujiza alio pewa ni fimbo (mkongojo) yake kugeuka kuwa nyoka maana watu wa zama zake walikuwa na tisha kwa uchawi. Jambo lililo pelekea mfalme wao kuwatumia katika kuudaiUungu.
ALLAH alivyo watuma manabii na mitume na kuwapatia miujiza, lengo la Muumba ni kuwafanya waitumie miujiza hiyo ili yapate kusadikiwa maamurisho walio kuja nayo katika jamii zao. Ama kuhusu maisha ya mitume na manabii, kila mmoja wao alikuwa na kazi maaluumu aliyo kuwa
vidani na cheni za mapambo kwa maharusi na kinamama.
Kiukweli mifano ya kutoa ni mingi sana, tutosheke na mifano michache tulio iashiria hapo juu. Jambo muhimu la kutambua ni kwamba suala ya kuitangaza imani halina uhusiano na kuacha kuifanya kazi kwa ajili ya kukimu maisha yetu, bali watu wengi mnoo wameachilia mbali suala ya kuieneza dini kwa hoja ya kutafuta namna ya kujikimu. Hatukanushi kuwa suala la kujikimu ni moja ya misingi ya mafundisho ya dini ... tunakubali kuwa dini imeharamisha mmoja wetu kuishi maisha ya omba omba. Hata hivyo sio hoja kabisa mmoja wetu kusingizia kuitafuta rizki kuwa ndio sababu ya kuto kujiendeleza au kuwaendeleza wengine kidini. Tumeona mifano hapo juu ya walio tutangulia, walikuwa wakiliangania dini na huku wafanya wajibu wao wakidini katika jamii zao. Mifano hiyo hiyo tunatarajia kuwa itatutosheleza sisi tunao itangaza dini na kuisomesha kutufanya tujiongeza katika ubunifu na mikakati ya kuzitengeneza ajira binasi kwetu wenyewe na kuwaandalia vijana mazingira ya kuisoma dini wakiwa mbali na sababu za kuwa wagombea sadaka katika vituo vya dini.
Vielelezo tulivyo vitumia hapo juu ni sababu adhwim kwetu kutufanya sisi waislam wa zama hizi kujipamba na mambo ya zama zetu. Mambo ya zama zetu sisi ni masuala ya teknolojia ya mawasiliano na fursa kadhaa zilizopo katika zama hizi, fursa ambazo hazikuwa kabisa katika zama za walio tutangulia. Hivyo hapana budi nasi kuisoma teknolojia na kuzitumia fursa hizo katika kujiongezea mapato, kiasi wasio kuwa waislamu wasituone kuwa ni watu wasio na maendeleo na kupelekea watu kudhani kuwa dini ya Uislam ndio inayo tuzuia na kutufanya kutokumbatia maendeleo. Jambo litalo wapelekea watu kujizuia kuingia katika Uislam. Hiyo ni moja ya sababu zinazo tusukuma sisi kuweko mitandaoni kwa kadri iwezekanavyo na katika maeneo na sekta kadhaa kuhamasisha wana jamii ... ili tuzitumie fursa za sayansi na ya teknolojia ya mawasiliano iliyopo katika zama zetu hizi.
Sisi katika harakati tulizonazo tumeamua kukusanya taaluma ya Dini na masuala ya taaluma za mambo yote yasio kuwa ya dini kwa sharti tusitoke nje ya maamrisho ya ALLAH na kujikuta tumo katika kuyafanya aliyo yakataza ALLAH kwa visingizio vya kuenda na mambo ya zama zetu.
Hata picha zinazao tembea hapo chini ya maandishi haya zitakupatia taswira halisi ya mrengo na mkondo wa harakati zeti.
![]() | ![]() | ![]() |
---|---|---|
![]() | ![]() | ![]() |
![]() | ![]() |
BOFYA MOJA YA PICHA TATU HAPO CHINI, UONE TUNACHO SOMESHA KIMATENDO


2
3
1
TEHAMA & UJASIRIAMALI
TUMESHAWISHIKA KUAMINI KUWA TEHAMA INA MCHANGO MKUBWA SANA KATIKA KUKUWA KWA JAMII NA KUBAREKA MAISHA YA MWANADAMU.
HIVYO CHUONI KWETU HUWA TUNATOA MAFUNZO YA TEHAMA ILI MWANAFUNZI WETU ASIWE MBALI NA UHALISIA WA MAISHA YA ZAMA ZAKE.
TAFADHALI BOFYA KULIANI KUPITIA TUNACHO KISOMA KATIKA NYANZA HUSIKA
KAWAIDA HUWA TUNA REKODI KILA TUKIFANYACHO YAANI KHUTBA ZA IJUMAA MAWAIDHA NA KOZI ... KWA LENGO LA KUWEKA KUMBUKUMBU ILI KUWAFAIDISHA WATU KWA SIKU ZA BAADAE.
HIVYO HAPA TUMEWEKA SAUTI YA BAADHI ZA KOZI MINGI TULIZO WAHI KUTOA KWA WANAJAMII. MARA KWA MARA TUTAKUWA TUKIZIONGEZA KWA KADRI TUTAVYO JALIWA. BOFYA KULIANI UPATE KUZIPITIA.
MAADILI YA WANETU HALI HII TUKIWA TUHAI . . . BAADA YA KUFARIKI DUNIA . DUNIA ITAKUWA JEE?
FUATILIA MAKALA ZA MAADILI KWA UKARIBU ILI KWA PAMOJA KWA PAMOJA ILI KUHUISHA MAADILI SAHIHI BAINA YA WANAJAMII.
KAMA YALIVYO MALENGO YETU KUHIMIZA MAADILI BAINA YA WANAJAMII POPOTE WALIPO HATUNA BUDI KULISIMAMIA SUALA LA NDOA MAANA BILA KULIFANYA HILO BILA SHAKA UTAKITHIRI UZINZI.
HIVYO TUNA UNGANISHA WANANDOA KWA MUJIBU WA IMANI ZAO MUISLAM KWA MUISLAM NA MKRISTO KWA MKRISTO TUKIWA NA LENGO LA KUPUNGUZA UZINZI IKIWA SIO KUUONDOA KABISA. TUMIENI FURSA HII KUUNGANISHWA NA WENZA.

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : بَدَأَ الإِسْلامُ غَرِيبًا ، وَسَيَعُودُ كَمَا بَدَأَ غَرِيبًا ، فَطُوبَى لِلْغُرَبَاءِ
kutoka kwa Abii hurayrah: alisema Mtume : ulianza na hali ya kutokujulikana. Hivyo vivyo utarudi (ulikotoka) ukiwa na hali ya kutokujulikana. Tuba(pepo ndio malipo) kwa watendao (mema kinyume na mazoea).

MWANAMKE AMEKUWA NI MUHANGA SANA TOKEA DUNIA KUUMBWA. KWA MASIKITIKO SANA MWANAKE AMEKUWA AFANYIWA MATENDO YASIYO HAKI YAKE KIUHALISIA TENA KATIKA JAMII ZOTE DUNIANI HATA KATIKA MATAIFA YANAYO DHANIWA KUWA NA MAENDELEO. KONA HII NI KWA AJILI YA KUMURIKA MWANGA KWA KINAMAMA NA MAENDELEO.
KONA HII NI MAALUMU KWA AJILI YA WALIO BADILI DINI KUTOKA HUKO WALIKO KUWA NA KUINGIA KATIKA UISLAM. HIVYO HAPA TUTAKUWA TUNA ELEZEA HALI ZAO NA MAISHA YAO BAADA YA KUINGIA KATIKA UISLAM.
TUNAAMINI KUWA MAISHA YA WALIMWENGU HAYANA THAMANI BILA KUWA NA ITIKADI SAHIHI KUHUSU UWEZO WA ALIYE UMBA. HATA HIVYO TUNAAMINI SUALA LA KUVUMILIANA KIIMANI MAANA HIVYO NDIVYO TULIVYO UMBWA WALIMWENGU.
HAPA NI KWA AJILI YA HABARI ZA DINI NA ITIKADI YA DINI YA UISLAM ILI KUWAENDELEZA KIIMANI WAUMINI WA DINI HIYO. TUTAKUWA NA MAKALA KADHAA KWA LENGO LA KUHUISHA MOYO KIDINI NA KIIMANI .
![]() |
---|
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
SIASA NA MAZINGIRA ... NI VIGUMU SANA MMOJA WETU KUIEPUKA SIASA HATA KAMA YEYE SIYE MWANASIASA HALISI. SIASA NI UHAI, SIASA NI MAISHA.
HAPA TUTATOFAUTIANA KWA JAMBO MOJA TU NALO NI LENGO LA MUISLAMU KUIFUATILIA SIASA NA SIASA IPI IFUATILIA NA SABABU ZA KUPELEKEA KUIFUATILIA SIASA . HAPA ZITA JADILIWA SIASA NA WANASIASA .
