top of page
Global Services High Targets
LEADERSHIP – ENTREPRENEURSHIP – VOLUNTEERING
BRELA ID No: 465066, TIN:
BAKWATA ID: BKT /MDRS/O2O/O1O15
0768649111 – 0675103790 – 0777496444 – 0772496444
Email: gshcourt@gmail , uddgshcourt@gmail
TANZANIA DAR es SALAAM, UBUNGO KWEMBE, MLOGANZILA
​
UBUNGO, KWEMBE, MLOGANZILA

KILA KIKICHA IDADI YA MASHEIKH NA MAUSTADH YAPUNGUA JAMBO LILILO PELEKEA BAADHI YA MAENEO TANZANIA KUPUNGUKIWA NA WASIMAMIZI MISIKITINI IKIWA SIO KUKOTEKANA KABISA.
KATIKA KULIFUATILIA SUALA HILO TUMEBAINI MAMBO KADHA KUWA NDIO CHANZO CHA YOTE HAYO. KATIKA YA VISABABISHI TULIVYO VIGUNGUA KUMEAMUA KUVISHUGHULIKIA VILE TULIVYO NA UWEZO NAVYO NAVYO NI KAMA VIFUATAVYO:
-
HALI YA DUNI YA KIUCHUMI YA WASOMI WA DINI. SUALA HILI TUMELIWEKEA MKAKATI TAYARI TUNASOMESHA UFUNDI WA UMEME NA UFUNDI WA CHARAHANI KWA WANAO SOMA DINI.
-
UKOSEFU WA UZOEFU WA KUZUNGUMZA MBELE ZA WATU. HILI NDILO TULILO LIWEKEA MKAKATI KATIKA UKURASA HUU. KAMA INAVYO ONEKANA HAPO CHINI. TUMEKUWA NA MPANGO MAALUMU KUMPA FURSA YA KUONGEA KILA MWANAFUNZI MADRASANI KWETU HATA KAMA ELIMU YAKE ITAKUWA DOGO...MUHIMU AONGELE KUHUSU YALE ALIYO SOMESHWA TU.
USHAHIDI WA PICHA UPO HAPO CHINI .​
bottom of page