top of page

ELIMU KIMATENDO

MATENDO TOFAUTI WANAYO YAFANYA VIJANA MADRASANI KWETU BAADA YA KUSOMESHWA IKIWA NI SEHEMU YA MAZOEZI YA MASOMO WANAYO SOMESHWA.

KUTOKANA NA UHALISIA WA MAISHA KWAMBA MMOJA WETU HAWEZI KUJITEGEMEA KIMAWAZO NA KIAKILI TUMELAZIMIKA KUWA NA MTAALA UNAOSHIRIKISHA UFADHILI BINAFSI KWA LENGO LA KUJITEGEMEA KIPATO. HIVYO TUNASOMESHA DINI NA UFUNDI UMEME WA MAJUMBANI PAMOJA NA UFUNDI WA CHARAHANI HAPA MADRASANI PETU ILI WASOMI WA DINI WAPATE KUJITEGEMEA KIMAPATO

bottom of page